Kuhusu Keka Nation
Keka Nation ni jukwaa la kidijitali lililojitolea kwa 100% kutoa huduma za **uchambuzi wa kina wa soka**, **dondoo (tips) za uhakika za mikeka**, na **habari motomoto za michezo** kutoka kila pembe ya dunia. Lengo letu ni kumpa mpenzi wa michezo na punters taarifa sahihi zitakazomsaidia kupata ushindi na kubaki na burudani.
Premium Tips & Odd Analysis
Tunatoa tabiri zenye asilimia kubwa ya ushindi zilizochambuliwa kwa kutumia takwimu sahihi ili kukuhakishia mshiko kila siku.
Uchambuzi wa Mechi
Kabla ya kuweka dau, tunakuletea mfumo wa timu, majeruhi, rekodi za nyuma (H2H) na fomu za sasa za klabu kubwa zote.
Habari za Michezo
Pata updates za haraka za usajili, matokeo ya mechi, msimamo wa ligi mbalimbali, na matukio yote makubwa duniani.
Elinathan Daniel
Software Engineer & Sports Analyst
Mimi ni Software Engineer niliyejikita katika kutengeneza mifumo thabiti na yenye ubunifu wa hali ya juu. Nikiwa kama mpenzi mkubwa wa michezo na uchambuzi wa soka nchini Tanzania, nimeanzisha **Keka Nation** ili kuwasaidia wadau wa soka kupata taarifa sahihi, habari za haraka, na dondoo zenye weledi mkubwa za kubashiri.